Social Icons


ZIJUE RANGI TULIVU ZA KUPAKA SEBULENI KWAKO...

sebuleni ni eneo ambako wengi wetu upumzisha akili na mwili.Hivyo inapendeza kukiwa na vitu vizuri



vilivyo na urafiki na macho yetu ili kuzidi kurelux.
Leo ujenzi zone tutashea nawe picha za rangi zilizotulia kufaa kupakwa sebuleni.
Cream,white,light green,light purple,light grey ,lime ni baadhi ya rangi zinazofaa kupakwa sebuleni.
Muhimu sana unapopaka rangi hizi kumix na white kwenye baadh ya sehem,mfano ceiling na kwenye borders zinazojitojeza ndani.

No comments :