Social Icons


HAPPY EID TO ALL "BEFORE AND AFTER GARDEN YA MDAU WETU

Nawatakia sikukuu njema ya eid waislamu wote na walio na upendo juu ya sikukuu hii.
Tunaomba amani itawale nchini kwetu na mafundisho yote mliyoyashika kipindi kilichopita cha ramadhani yakazidi kuimarika mioyoni.

Leo tunayofuraha kushea nanyi picha za nyumba ya mdau wetu ambazo zinatupa mafundisho mengi sana.

Kwanza ni kuwa hatua za kusimamisha jengo huwa ziko uniform kwa nyumba nyingi ila kinachokuja kuitofautisha nyumba na nyumba ni finishing ya ndani na nje,kama uonavyo katika nyumba hii.

Pili tunajifunza kuwa idea ya kumilik bustani kali na ya mvuto kama hii ya mdau huwa inaanza mapema sana  hasa kipindi ujenzi unavyoendelea kama alivyofanya mdau wetu.

Muhimu ni kuwaheshimu wataalamu wa ujenzi na kuwashirikisha pale uwezo unaporuhusu ili kujua position ya nyumba ni ipi na garden ni ipi ili unavyoendlea na ujenzi uweze kupanda maua na miti.

THANKS ONCE MORE KUWA MDAU MWEMA WA UJENZI ZONE DADAYETU UNAYEJITOA KUSHEA NASI PICHA ZA NYUMBA YAKO,UBARIKIWE SANA.

BALCON DESIGNS TOKA UJENZI ZONE METAL WORKS..

Balcon hutumika kwa dhamira mbalimbali ikiwa ni kingo pembeni ya baraza zilizojuu zaidi toka usawa wa ardhi.kuacha matumizi hayo balcon ni pambo la nyumba zetu.Huongeza unadhifu wa nyumba zetu hasa pale inapokuwa smart designed na wataalamu wanaojua nini wanafanya.
pichani zipo baadhi ya kazi zetu.Tunawakaribisha wote mnaogitaji huduma hizi.ofis zetu zipo mwenge opp nakiete.0786808707karibuni

METAL TV STANDS TOKA UJENZI ZONE METAL WORKS..

KARIBU MDAU UBADIL MUONEKANO WA SEBULE YAKO KWA STENDS IMARA ZA CHUMA HALISI..BEI ZETU NI NAFUU ,KARIBU TUKUFANYIE KAZ NA HAUTOJUTIA.0786808707

GOOD NEWS! GOOD NEWS...KWA WAKAZI WA GOBA,MBEZI MWISHO,MBEZI BEACH,MAKONGO JUU,MADALE,TEGETA EI,NA KIMARA..

BUBBLE GUPPIES PRE SCHOOL AND KINDERGARTEN...ni shule mpya ya mdau mwenzetu kwajili ya watoto wetu wadogo, shule iko goba njia nne junction..ukitokea masana mbezi beach unaingia kushoto kwako junction ni mita 100 mpaka ilipo jirani na njia ya matosa inayoenda kimara kin'gon'go.Ukitokea mbezi mwisho shule iko kulia kwako ufikapo njia nne junction kuu
Umri tunapokea kuanzia  miaka miwili hadi sita 2-6yrs.Tunao walimu wazoefu kutoka nje na ndani ya Tanzania.
Shule inafunguliwa mwezi huu tarehe 8/7/2015.
Wazazi karibuni sana mlete watoto wenu,usafiri upo.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na mwanadada huyu mmiliki kwa namba 0653 120 725
0753 580 991..

DOUBLE DECKER FOR SALE..

Kitanda hiki ni kazi yetu Ujenzi zone metal works..sasa kinauzwa dukani kwetu kwa bei ya sh laki 6.size ni futi tano kwa sita chini,na futi nne kwa sita juu.  Kiko imara na chaga zake ni za chuma,finishing ya rangi iko saffi na classic.karibuni wenye uhitaji tunapokea oda aina mbalimbali za metal works.0786808707