Social Icons


GETI LA KISASA,DESIGNED BY UJENZI ZONE METAL WORKS

Hii ni moja ya kazi zetu tulizodesign kwa mteja wetu.
Ukihitaji ubunifu huu wa mageti aina mbalimbali tuone uz metal works tukufanyie kazi nzuri kwa gharama nafuu.
Kutengeneza na kukufungia pia kukupakia rangi zenye ubora ni moja ya majukumu yetu.
popote Dsm tunakufikia.
0786808707 Kwa muda wa siku 10kazi yako inakuwa tayari.

No comments :