Social Icons


KAZI ZETU UJENZI ZONE METAL WORKS

Nawakaribisha wadau wote katika ofisi yetu ya ujenzi zone metal works.Tunatengeneza madirisha ya grill,mageti,vitanda,balcon,minara ya kuwekea tenk za maji na kila kihusucho chuma.
Bei zetu ni nafuu,karibuni sana ofis yetu iko mwenge kituo cha mabasi Itv pembeni ya lami iendayo town,na workshop yetu iko Goba Tatedo.
Tunapokea oda aina zote.Dsm nzima tunakufikia.0786808707
pichani ni baadhi ya kazi zetu karakana kwetu.

No comments :