Social Icons


UJENZI NI KUANZA..AMKA ANZA LEO

Ndugu wadau wengi wamekuwa wakihoji wanahitaji kiasi gan kuanza kujenga!
Niwatie moyo mkuu,unahitaji kuwa na nia thabiti kuanza ujenzi,nia thabiti hupelekea umiliki kiwanja kadiri ya uwezo wako na hivyo inakuandaa kuanza nyumba ya size inayoendana na size ya kiwanja chako ,pamoja na uwezo ulio nao.
Leo nmeweka sampo za nyumba size ndogo ambazo nyingi hutoshea viwanja vya mita 20/20 na gharama zake huwa ni nafuu kuanzia wastani wa sh 16m to 25m kutegemeana na finishing materials utakazo kamilishia nazo ujenzi wako.
Ukihitaji fundi wa kuanza naye ujenzi wako nipigie 0786808707.
Nikutakie ujenzi mwema..

No comments :