Social Icons


UMEANZA UJENZI?UNAHITAJI HARDWARE MOJA YA UHAKIKA,NAO NI PROGRENIC HARDWARE ,GOBA.

TANGAZO ,TANGAZO ,TANGAZO...
KWA WALE MNAOJENGA GOBA,MADALE,MAKONGOJUU,
MBEZIBEACH,MBEZI MWISHO,NA WADAU WA PANDE ZOTE WENYE MAPENZI MEMA..
KARIBUNI TUMUUNGE MKONO MDAU MWENZETU,AMEFUNGUA NEW HARDWARE ALONG NEW GOBA ROAD..
Karibu Progrenic Hardware iliyopo Goba opposite na Goba (Michigan) Petrol Station kwa mahitaji yako yote ya vifaa vya ujenzi. Iwapo una ujenzi na unahitaji vitu kwa idadi kubwa basi tutakuuzia kwa bei ya jumla na ukihitaji tutakuhifadhia ili uchukue vile vinavyohitajika site kwa wakati huo. Moja ya OFFER kubwa zinazoendelea ni cement ya Dangote (32.5) ambayo kuanzia mfuko 100 utapata kwa shs 11,800 na mifuko 50 - 99 utapata kwa shs 11,900 kwa mfuko, WAHI SASA! Kwetu faida ni baada ya kumtimizia mteja mahitaji yake. Hatuwezi kushindwana. Kwa mawasiliano tupigie 0767225115 au 0713777725.

No comments :