Social Icons


SLIDING GATE,ALL THE WAY FROM MLANDIZ TO MWENGE UJENZI ZONE METAL WORKS

Asante nyingi sana kwa mdau wetu wa kibaha mlandizi.
Tunashukur kutupatia kazi ya geti ,na hii inatia moyo zaidi kuona kazi zetu zinakubalika na kupendwa mpaka na wadau walio nje kidogo ya jiji la Dsm.
Nawakarbisha wote mtakaohitaji mageti mazuri ya kuslide,tunatengenza na kusafirisha na kufix kwa bei nafuu sana.
Nipigie 0786808707

No comments :