Social Icons


FAHAMU KAZI ZETU UJENZI ZONE

​❤️❤️FAHAMU KAZI ZETU  UJENZI ZONE(KAZI ZA ADMN)...


👉Tunafanya kazi za makabati ya jikoni kwa mbao ngumu (hardwood)pia tunategeneza frem na milango ya hardwood.(Mninga na mkongo)


👉Metal works/welding works

Tunatengeneza mageti ya kuslide,

Madirisha ya gril,

chuma za pazia,

balluster za chuma,

parking shade za magari,

stend za maua,

shelves za dukani,

shoereck za chuma,

bembea,

vitanda vya chuma aina zote na kazi zote za welding)


👉Tunapaua magodauni na majengo aina zote kwa chuma..


👉Tunatengeneza madirisha ya Aluminium na milango.

👉Tunatengeneza Peving blocks&fittings..

👉Tunakuunganisha na mafundi pamoja na wataalamu wa ujenzi fani zote..

👉Tunapokea matangazo ya ujenzi kishatunakupostia kwa Fb group yetu ina members 330,500 na insta 44,000 members..


💪🔥🔥NAWAKARIBISHA SANA WORKSHOP YANGU IKO GOBA TATEDO DSM.NIPIGIE 0717060776❤️❤️KAZI ZINAONGEA

No comments :