Social Icons


NYUMBA INAUZWA ARUSHA MJINI

ARUSHA MPOOO...JE UNATAMANI KUMILIKI NYUMBA ARUSHA??

SOMA HII👇👇👇


Jengo hili linauzwa lipo Arusha,Moshono Chekereni.Lina view ya mount Meru na Kilimanjaro.


Dk 5 kutoka barabara ya Moshono na Dk 2 kutoka barabara ya East Africa.


Ina bedrum 3 ambazo ni Master yenye closet yake na washrooms kubwa,chumba kingine kina choo ndani,na bedrum ingine moja.

Sebule kubwa na dining.


Kiwanja kinaface barabara ya mtaa na kuna nafas mbele ya kupak gari hata 5 na garden.


Nguzo ya umeme ipo hapohapo na bomba la maji limeshawekwa.


Eneo lina kibali cha ujenzi kutoka manispaa.

Majirani wapo wa kishua sana..


Only serious buyer contact 0625897417

Price 38M

No comments :