Social Icons


SWALI KWA WADAU NA WATAALAMU WA UJENZI

Mdau wetu anauliza swali, ili kulijibu tunaliweka kwenye uwanja wa blog yetu, tunakaribisha maoni, experience yako je wewe ulifanyaje na ushauri wa kitaalam.

Habari zenu mimi ni mfatiliaje wa ujenzi zone.mnaweza kunipa ushauri wa ujenzi .natia bati sasa nikimaliza nataka kuzungusha ukuta,na nitie nondo Za madirisha unaweza mkanishauri nianze na nini baina ya ukuta(fensi)au madirisha   

Wapendwa wadau mnakaribishwa kushiriki kwa kutoa comments zenu

No comments :